CNA

Thursday, 17 January 2013

Goldie Akubali Uhusiano Wake Na Prezzo


Nyota wa Nigeria amekubali uhusiano wake na Prezzo, Haya yalijiri alipohojiwa hivi majuzi. Goldie amesema kuwa anampenda Prezzo kwa dhati na angetaka kuwa nae milele " Mie nampenda Prezzo, nampenda kwa dhati na ningependa niwe naye milele " Alisema Goldie.http://www.facebook.com/CoastNairobiArtists